Tengeneza Barua ya Maombi ya Kazi Bure

Unda barua ya maombi ya kazi (Cover Letter) yenye mfumo mzuri na wa kipekee kwa sekunde chache kwa kutumia AI. Jitofautishe na wengine na upate kazi ya ndoto yako ndani na nje ya Tanzania.

Jinsi Inavyofanya Kazi

Hatua tatu rahisi kuunda barua ya kazi (cover letter) bora.

1. Pakia CV Yako

Pakia CV au wasifu wako uliopo kwa muundo wa PDF. Mfumo wetu utachambua taarifa zako muhimu moja kwa moja.

2. Weka Maelezo ya Kazi

Toa jina la nafasi, kampuni na maelezo ya kazi. Tutaiunda barua yako kulingana na kazi hiyo.

3. Pakua & Tuma Maombi

Pata barua yako ya kazi bora katika muundo wa PDF, tayari kwa kutumwa pamoja na maombi ya kazi.

Baadhi ya Fursa za Ajira

Tengeneza barua za maombi kwa nafasi hizi za kazi Tanzania

Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara

Jibu la maswali ya kawaida kuhusu huduma yetu ya kutengeneza barua za kazi

Ndiyo! Huduma hii ni bure. Tunakupatia fursa ya kutengeneza barua za kazi bila malipo mwanzoni. Baada ya kumaliza credits zako za bure, unaweza kulipa Tsh. 4,999/= kwa mwezi kupata credits zaidi za kutumika mwezi mzima.

Kila credit inakuwezesha kutengeneza barua moja ya kazi.

Tunakubali faili za PDF pekee kwa sasa. Hakikisha CV yako iko katika muundo wa PDF kabla ya kuipakia.

Mchakato wote wa kutengeneza barua ya kazi unachukua kati ya sekunde 30 hadi dakika 2 tu!

  • Kupakia CV: Sekunde chache
  • Kuingiza maelezo ya kazi: Dakika 1
  • AI kutengeneza barua: Sekunde 30-60

Ndiyo! Tunachukua usalama wa taarifa zako kwa umakini mkubwa. Taarifa zako zote zinahifadhiwa kwa njia salama na hutumika tu kwenye kuunda barua. Baada ya hapo tunazifuta.

Taarifa zako ni salama na hufichwa (encrypted)
Hakuna mtu mwingine yeyote zaidi yako wa kuziona

Ndiyo! Mfumo wetu utakuonyesha muundo wa barua iliyotengenezwa na kukupa chaguo la kuhariri.
Pia unaweza:

  • Kutengeneza barua mpya kwa kazi hiyo hiyo
  • Kupakua barua kisha kuihariri kwa programu za nje
  • Kunakili maandishi na kuhariri popote

Tunakubali malipo kupitia huduma za Mobile Money za Tanzania:

M-Pesa

Tigo Pesa

Airtel Money

Halotel

Bado una swali lingine?

Tupo hapa kukusaidia! Wasiliana nasi kupitia barua pepe.

Je! Uko Tayari Kupata Kazi Unayoitaka?

Jiunge na maelfu ya wataalamu wa Kitanzania waliotumia BARUA KAZI kwa mafanikio kuandika barua bora za maombi ya kazi.

Anza Kutengeneza Leo